Zaidi ya makundi 50 ya vijana yapewa ufadhili wa miradi Mombasa

  • | Citizen TV
    211 views

    Zaidi ya makundi 50 ya vijana kutoka kaunti ya mombasa yamepigwa jeki ili kufadhili miradi mbali mbali ya kiuchumi na biashara. Vijana hao waliokuwa wakipata mafunzo katika kituo cha Swahili pot wanatazamiwa kupokea kitita cha shilingi milioni 1