
22,870 views
Ronaldo astaafu soka la kimataifa baada ya miaka 23
Ni mwisho wa safari ya miaka 23 ya gwiji wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, akiwa na jezi ya timu ya taifa ya Ureno! Mshambuliaji huyo mkongwe ametangaza rasmi kustaafu soka la kimataifa, akihitimisha safari iliyojaa mabao, rekodi na mafanikio makubwa. Ronaldo, mwenye umri wa miaka 41, anaondoka akiwa ameweka historia ya kufunga mabao 146 katika mechi 234 alizoichezea Ureno, rekodi ambazo hazijafikiwa na mchezaji mwingine yeyote katika soka la kimataifa. #bbcswahili #cristianoronaldo #ureno Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026