
67,343 views
Hali ilivyo mahakamani kuu ya Tanzania
Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu, amefikishwa mahakamani kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds na taarifa zaidi - - #bbcswahili #mahakamani #chadema #lissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026