
20,468 views
Marufuku ya viboko Tanzania
Je, viboko ni nyenzo muhimu ya kudumisha nidhamu au ni adhabu iliyopitwa na wakati? Mjadala huo umeibuka upya nchini Tanzania baada ya Mahakama Kuu kutoa uamuzi unaopiga marufuku adhabu ya viboko shuleni. Uamuzi huo umeibua maoni yanayokinzana kuhusu nafasi ya walimu katika kusimamia nidhamu na mbinu mbadala zinazoweza kutumika katika kumfundisha wanafunzi. Wewe una maoni gani? Je, unadhani wanafunzi wanaweza kufundishwa bila viboko? Mwandishi wa BBC @mariammjahid na taarifa hiyo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.