
36,943 views
Je,shauri la uchochezi linalomkabili Lissu limefutika?
Mkurugenzi wa Utetezi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa hukumu ya kesi ya uhaini iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania ina maana kwamba kisheria shauri la uchochezi linalomkabili Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu limefutika. Shauri hilo lilitarajiwa kusikilizwa Novemba 19. Massawe ameyasema hayo wakati wa uchambuzi wa mwenendo wa kesi ya Lissu uliofanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026