
43,327 views
Mitego ya mapenzi iliyotikisa ulimwengu wa ujasusi
Mapenzi yanaweza kuwa silaha ya ujasusi? Historia ya ujasusi ina visa vya watu kutumia mahusiano ya kimapenzi kupata siri za taasisi nyeti. Phillys Mwatee anaangazia baadhi ya watu mashuhuri katika historia waliojikuta wakiporomoka kutokana na mitego ya kimapenzi. #bbcswahili #ujasusi #NVIDIA Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026