
5,755 views
Ballon d’Or 2026: Nani kuchukua mwanasoka bora duniani?
Tuzo za Ballon d’Or 2026 zitatolewaJumatatu Oktoba 26 jijini London, Uingereza, huku nyota kama Harry Kane, Lamine Yamal na Kylian Mbappé wakipewa nafasi kubwa ya kutwaa tuzo ya mwanasoka bora wa kiume duniani. Sherehe ya kutoa tuzo hii hiyo itaangazia tuzo za mwanasoka bora wa kike, kipa bora, chipukizi bora, makocha na klabu bora za mwaka. Mwandishi Omary Mkambara @loko.omi anatujuza mengi kuhusu tuzo hizo Video: @frankmavura #bbcswahili #ballondor #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026