
15,305 views
CHADEMA yamuandikia barua Rais Kenya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimesema kimewasilisha barua rasmi kwa Rais wa Kenya, William Ruto ya kumuomba kuingilia kati suala la madai ya kutekwa kwa Mwanaharakati Twaha Mwaipaya. Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Oktoba 27, 2026 Jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema barua hiyo imewasilishwa leo katika Ofisi za Ubalozi wa Kenya Nchini Tanzania, ikiwa na kichwa cha habari kinachosomeka "Urgently Appeal for Your Personal Intervention in the Abduction of Twaha Mwaipaya and Protection of Democratic Activists in East Africa." Kupitia barua hiyo, CHADEMA imemuomba Rais Ruto kutumia nafasi yake kuingilia kati suala hilo, huku kikisisitiza umuhimu wa kulinda usalama wa Wanaharakati wa Demokrasia katika Ukanda wa Afrika Masharikl. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.