- 76,795 viewsDuration: 1:24Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini DPP amewaondolea mashtaka washtakiwa 20 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu isipokuwa Mfanyabiashara Jeniffer Jovin @_.niffer._ na @mikachavala Wakili wa Serikali, Titus Aaron amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya ya kwamba DPP amewaondolea mashtaka hayo hii leo. “Shauri limekuja kwa ajili ya maamuzi madogo ila kabla ya mahakama haijatoa maamuzi hayo Upande wa Jamhuri ina ombi, tunaiomba mahakama kuwasilisha,” “Mkurugenzi wa mshataka ameamua au ameonelea kwamba hana nia ya kuendelea na mashtaka kwa washtakiwa wote isipokuwa Jeniffer na Mika Chavala. - - #bbcswahili #tanzania #maandamano #mahakamani