Kesi za dhulma zinachukua muda mrefu kutatuliwa

  • | Citizen TV
    50 views

    Idara ya mahakama katika eneo la Msambweni kaunti ya Kwale imesema kesi nyingi za dhulma dhidi ya watoto huchukua muda mrefu kutatuliwa kutokana na ukosefu wa ushahidi wa kutosha.