Washukiwa watatu wa mauaji washtakiwa

  • | Citizen TV
    757 views

    Washukiwa watatu wanaochunguzwa kwa mauaji ya mama wa umri wa miaka 78 huko kasarani wamefikishwa mahamakani. Maafisa wa upelelezi waliomba mahakama kuwazuilia washukiwa hao kwa muda zaidi ili uchunguzi ukamilike. Franklin wallah anatuarifu zaidi kuhusu kesi hiyo na nyingine mahakamani...