Mwanawe mbunge wa kuteuliwa David Ole Sankok amezikwa

  • | Citizen TV
    4,007 views

    Mwanawe mbunge wa kuteuliwa David Ole Sankok amezikwa Marehemu Memusi Sankok amezikwa kwao Enjare Ngiro, Narok Uchunguzi unaedelea kubaini alivyofariki kwa risasi iliyopenya kichwani