Polisi na wawakilishi wadi wakabiliana Machakos

  • | Citizen TV
    923 views

    Kwa siku ya pili vurumai ilishuhudiwa nje ya Bunge la kaunti ya Machakos wakati ambapo wawakilishi tisa waliopigwa marufuku katika Bunge hilo walipozuiliwa na polisi wasiingie Bungeni. Makabiliano makali yalizuka huku lango la bunge hilo likigeuka uwanja wa vita.