Kwanini aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu hajazikwa?

  • | BBC Swahili
    1,236 views
    Inawezekana ugomvi huu ulikuwa wa kifamilia, lakini sasa umegeuka kuwa suala la kisiasa linalotikisa taifa la Zambia. Wakati mwingine familia hugombania mali baada ya msiba lakini safari hii, ni mwili wa marehemu ndiyo unaogombaniwa. Je, ni nini hasa kinachoendelea? Kwa nini mahakama ya Afrika Kusini imeingilia kati na kuzuia mazishi ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu? Tuchambue mgogoro huu unaozua hisia kali, kati ya siasa, familia, na heshima ya marehemu. - - #bbcswahili #mazishi #zambia #marais #lungu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw