Wachezaji wa kuwatazama Wafcon2024

  • | BBC Swahili
    898 views
    WAFCON 2024 inaanza Jumamosi, 5 Julai!⁣. Timu 12. Mechi 26. Miji mitano. ⁣ Mashindano haya yalicheleweshwa kutoka 2024 kutokana na masuala ya ratiba, lakini sasa yamerudi na Afrika Kusini ikirejea kama mabingwa watetezi.⁣ ⁣ Ni nchi tatu tu ambazo zimewahi kushinda taji hili... na ndio, Nigeria inaongoza kwa mataji tisa.⁣ ⁣ Hawa hapa ni baadhi ya wachezaji wa kufuatilia kwa makini katika WAFCON ya mwaka huu. @loko_omi 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #WAFCON2024 #morocco Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw