Rais Ruto awakashifu wanaopinga kanisa ikuluni

  • | Citizen TV
    6,082 views

    Rais William Ruto ameendelea kuwashambulia wale wanaopinga ujenzi wa kanisa katika ikulu ya Nairobi, huku akipata uungaji mkono kutoka kwa baadhi ya makanisa ya Kievanjelisti. Makasisi waliokutana na rais katika ikulu ya nairobi walikanusha matamshi ya viongozi wenzao wa kidini waliopinga mpango huo huku rais akisisitiza kanisa litajengwa.