Jamii mbili zilizokuwa na uhasama zasherehekea amani ( Turkana-Sudan )

  • | Citizen TV
    207 views

    Jamii mbili zilizokuwa na uhasama wa miaka kutoka Kenya na Sudan zimejumuika kusherehekea mwaka mmoja wa amani. Sherehe hii iliyojumuisha jamii ya Toposa ya Sudan kusini na ile ya Turkana hapa nchini iliandaliwa katika eneo la Lokichogio katika mpaka wa mataifa haya mawili.