Mudavadi na Wetangula waanza kampeni

  • | K24 Video
    480 views

    Vinara wa Kenya Kwanza Musalia Mudavadi na Moses Wetangula wameanza kampeini ya siku ishirini na nne katika eneo la Magharibi ili kurai wakazi kuunga mkono azma ya William Ruto kuwa rais wa tano wa Kenya. Hatua hiyo inaonekana kulenga kufaulisha asilimia sabini ya wapiga kura kumchagua ruto hapo Agosti tisa.