Mwanahabari wa Citizen Hassan Mugambi aasi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenziwe Mwanaidi

  • | Citizen TV
    4,854 views

    Mwanahabari wa runinga ya Citizen Hassan Mugambi ameasi ukapera baada ya kufunga pingu za maisha na mpenziwe Mwanaidi Mohammed katika msikiti wa Makina mtaani Kibra hapa jijini Nairobi.