Waendeshaji bodaboda mjini Embu waandamana kulalamikia ongezeko la visa vya utovu wa usalama

  • | Citizen TV
    769 views

    Shughuli za kibiashara zilisitishwa kwa muda katika mji wa Embu kufuatia maandamano ya waendeshaji bodaboda waliokuwa wakilalamikia ongezeko la visa vya utovu wa usalama eneo hilo.