Marekani Waandamanaji wakiwakilisha masuala mbalimbali wajitokeza mitaani New York

  • | VOA Swahili
    821 views
    Huku Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa likiendelea na vikao vyake Alhamisi, waandamanaji wakiwakilisha masuala mbalimbali na kutoka nchi mbalimbali walijitokeza mitaani. Wakuu wa Nchi kutoka kote ulimwenguni wamekusanyika New York kwa ajili ya Majadiliano ya Jumla yaliyoanza Jumanne." #viongozi #mkutano #lengo #maendeleoendelevu #UN #voa #voaswahili #dunianileo #maandamano #newyork #marekani - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.