Bustani hiyo inatambulika katika kisiwa cha Lamu

  • | Citizen TV
    227 views

    Bustani ya Mkunguni katika Kisiwa cha Amu inatambulika na wakaazi wengi wa Lamu kutokana na shughuli mbalimbali za kiserikali, zile za kibinafsi ambao mara nyingi huandaliwa na kufanyia katika bustani hiyo. Bustani hii ambayo imekuwepo kwa zaidi ya muda wa miongo miwili sasa ndio ukumbi mkubwa wa umma unaotegemea na wakaazi Kisiwani kuendesha shughuli. Rahma Rashid ametuandalia taarifa zaidi