Mbuga ya Samburu ina eneo ambalo ndovu hutangamana

  • | Citizen TV
    874 views

    Juhudi zinapozidishwa kufufua Mbuga ya kitaifa ya wanyama pori ya Samburu, mbuga hiyo ina eneo maalum ambapo ndovu hufika na kutangamana na watalii maarufu "elephant bedroom". Kwenye Mwenge wa Kaunti juma hili, Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaangazia taarifa hii ya Mwenge wa Kaunti kutoka kaunti ya Samburu