Wanafunzi wa zamani wahimizwa kusadia kulipa karo

  • | Citizen TV
    368 views

    Baadhi ya walimu wakuu Katika kaunti ya Bungoma Sasa wanawataka wanafunzi wa Zamani Katika shule mbalimbali kujitokeza Kwa ajili ya kufadhili wanafunzi wanaolemwa na Karo na bidhaa za kimsingi wanapojiunga na kidato cha Kwanza.