- 150 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
FILAMU YA POSTCARD YA NOLLYWOOD NA BOLLYWOOD YATESA NETFLIX
- - Duniani Leo ››
- 14 May 2025 - The iconic 89-year-old -- who spent a dozen years behind bars for revolutionary activity -- lost his battle against cancer after announcing in January that the disease had spread and he would stop treatment.
- 14 May 2025 - As a follow-up of the recent State Visit to the People’s Republic of China, President William Ruto met Fuzhou Benny Tea Industries Chairman Zhang Chaobin on Tuesday to discuss ways of increasing access of Kenyan tea to the Chinese market.
- 14 May 2025 - The Ugandan government introduced a bill in parliament on Tuesday that would allow military tribunals to prosecute civilians, months after the country's Supreme Court ruled the practice unconstitutional.
- 14 May 2025 - Finland has returned a ceremonial stool that was looted from what is now Benin by French forces more than a century ago, a gesture that officials from both countries described as a milestone in the restitution of the West African country's cultural…
- 14 May 2025 - Additionally, the Ministry launched the disbursement of NG-CDF bursaries worth KSh 39 million, targeting underprivileged students in Mandera North as part of the government’s commitment to education and social protection.
- 14 May 2025 - Being exposed to extreme heat while pregnant has previously been linked to a range of problems, including a higher risk of premature birth, stillbirth, birth defects and gestational diabetes.
- 14 May 2025 - An escalation of fighting in eastern Democratic Republic of Congo has strained the Central African nation's public finances, the International Monetary Fund said on Tuesday.
- 14 May 2025 - Mathare United head coach John Kamau has warned AFC Leopards that the Eastlands side is ready to fight for a win and return to winning ways in the Football Kenya Federation Premier League. The Slum Boys were defeated 1-0 by Kakamega Homeboyz in their…
- 14 May 2025 - Residents of Ashabito Sub-County in Mandera County are set to benefit from improved service delivery following the launch of public service operations in the newly gazetted administrative unit. The Huduma Smart Serikalini initiative (Mandera Edition)…
- 14 May 2025 - The latest deal will create hundreds of opportunities for Kenyans.