Trump na Biden wakosoana kuhusu suala la uhamiaji https://www.cnn.com/
Katika miezi ya hivi karibuni, Biden amejaribu kurekebisha muonekano wake usiopendeza kwa umma katika kushughulikia suala la uhamiaji, kwanza kwa kuidhinisha pendekezo la Baraza la Seneti la vyama vyote viwili likiwa na baadhi ya masharti magumu katika kumbukumbu za karibuni na baadae, baada ya sheria ile kuvunjika, akichukua hatua za kiutendaji kuwadhibiti wahamiaji wanaoomba hifadhi upande wa kusini wa mpaka.
Lakini wakati Biden akijaribu kuhamasisha mafanikio aliyofikia, hasa kupungua kwa asilimia 40 ya idadi ya uvukaji kinyume cha sheria tangu agizo lake la mpaka kutekelezwa mwezi huu, Trump alieleza machachari ya kisiasa yakieleza ni kiza na balaa kuonyesha hali ya mpakani iliyovurugika chini ya uangalizi wa Biden.
Kwa mfano, Trump alitoa hoja kuwa wahamiaji wanaowasili kwenye mpaka wa Marekani wamekuja kutoka “hospitali za magonjwa ya akili” na “waomba hifadhi wendawazimu” – ambapo hajaweza kutoa ushahidi wowote. Pia alidai mpaka wa Marekani – Mexico (AP).
#trump #biden #voa
11 Aug 2025
- Youth between the ages of 25 and 34 are the most active online.
11 Aug 2025
- The project aims to ease traffic flow in the city.
11 Aug 2025
- Trump recently spared Kenya from tariff slaps.
11 Aug 2025
- Mexico City's Benito Juarez International Airport suspended operations for several hours Sunday after heavy rains flooded the capital and caused poor visibility, authorities said.
11 Aug 2025
- Countries remained at loggerheads Monday over how to tackle plastic pollution, with only four days left to craft a landmark global treaty on reining in the ever-growing scourge.
11 Aug 2025
- Public Health Principal Secretary Mary Muthoni has warned management of level 2, level 3 and sub county hospitals against charging patients when they seek outpatient medical attention in those facilities.
11 Aug 2025
- Youth between the ages of 25 and 34 are the most active online.
11 Aug 2025
- President Donald Trump pledged on Sunday to evict homeless people from the nation's capital and jail criminals, despite Washington's mayor arguing there is no current spike in crime.
11 Aug 2025
- Israel's military said it killed an Al Jazeera journalist it accused of being a Hamas cell leader in a Gaza airstrike on Sunday, but rights advocates said he had been targeted for his frontline reporting on the Gaza war and Israel's claim lacked…
11 Aug 2025
- The project aims to ease traffic flow in the city.
11 Aug 2025
- They say many have been sitting back and waiting for the state to provide jobs
11 Aug 2025
- Police said one Erick Mutembei Njagi, 53, was shot and killed by four gunmen who were riding on a motorcycle.
11 Aug 2025
- The video widely shared on TikTok claims that the ’23-year-old’ was attacked during a performance.