Washukiwa wawili wa mauaji ya Kware kusalia ndani

  • | Citizen TV
    3,973 views

    Haya yakijiri, washukiwa wengine wawili waliokamatwa kwa madai ya kuhusika na mauaji ya eneo la Kware eneo la Pipeline wanatasalia kizimbani kwa siku 28 zaidi. Hii ni kutoa nafasi kwa maafisa wa upelelezi kukamilisha uchunguzi wao dhidi ya Amos Momanyi na Moses Ogembo. Haya yanajiri huku shughuli ya upasuaji wa miili 13 iliyopatikana eneo la Kware ikiendelea katika hifadhi ya maiti ya City