Familia ya mshukiwa mkuu wa mauwaji yazungumza

  • | Citizen TV
    17,333 views

    Familia ya mshukiwa mkuu wa mauwaji ya Kware Collins Khalusha sasa inasema alikuwa na tabia ya kutoweka nyumbani kwa miaka kabla ya kuonekana. Mamake Khalusha akieleza namna mwanawe alivyowacha shule kidato cha tatu na kuamua kuendesha shughuli za kujitafutia riziki.