Polisi wanasa mapipa-8 ya kemikali ya sodium cyanide

  • | KBC Video
    76 views

    Maafisa wa polisi katika kaunti ndogo ya Limuru,kaunti ya Kiambu wamepata mapipa -8 ya kemikali ya sumu aina ya Sodium Cyanide baada ya kutekeleza msako mkali katika eneo hilo. Naibu kamishna wa kaunti ndogo ya Limuru Charles Mukele alisema mapipa-24 yalipotea baada ya trela ambalo lilikuwa likisafirisha kemikali hiyo nchini Uganda kupindukia katika eneo la Kambere kwenye barabara kuu ya Nakuru kuelekea Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive