Waridi wa BBC: Mesha Singolyo, mwanamke wa mfano katika jamii ya Kimasai.
Pamoja na kuhitimu shahada yake ya uzamili katika masuala ya maendeleo ya jamii, hakuona haja ya kutafuta fursa nyingine kama vile kuajiriwa nje ya maeneo ya jamii yake, bali aliamua kurejea kwa jamii yake ili kupitia taaluma yake awe na mchango kwao.
Kwa sasa ni mwanaharakati anayewasaidia wajane kujikomboa kiuchumi kupitia vikundi vya akiba vya kijamii.
Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa amezungumza naye akiwa jijini Arusha, kaskazini mwa Tanzania.
📹 @boshanyanje
#bbcswahili #waridiwabbc #wanawake
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 May 2025
- Gunshots were fired during Gachagua's event on Thursday.
15 May 2025
- The highway will help address the prevalent congestion along the major highway.
15 May 2025
- This comes after the court ordered the accused to be remanded at the Industrial Area Prison until Monday, May 19,
16 May 2025
- Former top cop Charles Owino provides compelling analogy of how to commit murder
16 May 2025
- Private firm to inject Sh12.3b to revive sugar factories
16 May 2025
- CMA approves Standard Group's Sh1.5b rights issue
16 May 2025
- 24 million Kenyans wear mitumba: Report
16 May 2025
- PS Omollo: Homa Bay ready to host Madaraka Day celebrations
16 May 2025
- Residents protest neglect of colonial-era DC's office
16 May 2025
- PSC distances itself from UoN leadership wrangles
16 May 2025
- Magwanga escapes alleged gun attack after death of Kasipul MP
16 May 2025
- Gachagua's party joins country's growing special-purpose vehicles
16 May 2025
- Somalia training special armed unit to face off with al-Shabaab