Zahanati za mashua zinavyosaidia wanakijiji India
Katika visiwa vya mbali vya jimbo la Assam India, ambapo ufikiaji wa huduma ya afya mara nyingi ni changamoto, kliniki za mashua zinaziba pengo hilo.
Mara mbili kwa mwezi, timu za madaktari na wauguzi waliojitolea husafiri majini, kupeleka huduma ya matibabu kwa jamii zilizotengwa zaidi nchini humo.
BBC imefuatilia safari yao na kushuhudia jinsi kliniki hizi zinazoelea zinavyotoa huduma za kimsingi za afya.
#bbcswahili #india #afya #matibabu
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 May 2025
- Gunshots were fired during Gachagua's event on Thursday.
15 May 2025
- The highway will help address the prevalent congestion along the major highway.
15 May 2025
- This comes after the court ordered the accused to be remanded at the Industrial Area Prison until Monday, May 19,
16 May 2025
- Magwanga escapes alleged gun attack after death of Kasipul MP
16 May 2025
- Gachagua's party joins country's growing special-purpose vehicles
16 May 2025
- Somalia training special armed unit to face off with al-Shabaab
16 May 2025
- Tower of babel: Security chiefs at odds as Kenya faces mounting threats
16 May 2025
- Former top cop Charles Owino provides compelling analogy of how to commit murder
16 May 2025
- Private firm to inject Sh12.3b to revive sugar factories
16 May 2025
- CMA approves Standard Group's Sh1.5b rights issue
16 May 2025
- 24 million Kenyans wear mitumba: Report
16 May 2025
- PS Omollo: Homa Bay ready to host Madaraka Day celebrations
16 May 2025
- Residents protest neglect of colonial-era DC's office