- 11,472 viewsDuration: 5:34Kwa miaka mingi, wakazi wa maeneo ya kaskazini mwa Kenya walihisi kutengwa kutokana na changamoto za miundomsingi na athari za ukame. Lakini sasa matumaini mapya yanaanza kushuhudiwa kupitia ujenzi wa barabara ya lami ya kilomita 750 kutoka Isiolo kwenda Wajir hadi Mandera. mwanahabari Feisal Abdirahman ametembelea sehemu hiyo na kutuandalia