Donald Trump amuita Putin 'mwenda wazimu'... katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    22,032 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba anawazia kuweka vikwazo zaidi dhidi ya Urusi, kutokana na shambulizi la hivi karibuni zaidi la makombora na ndege zisizo na rubani. Shambulio hilo limeripotiwa kuwa kubwa zaidi kuwahi kufanyika tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw