Jeshi la Israel lashambulia Rafah mpakani na Misri
Helikopta za Israel zimefanya shambulizi huko Rafah leo Alhamisi, wakazi wamesema, huku wanamgambo wa Hamas wakiripoti mapambano ya mtaani katika mji wa kusini baada ya mwanadiplomasia wa juu wa Marekani Antony Blinken amesema sitisho bado linawezekana.
Majeshi ya ardhini ya Israel yamekuwa yakifanya harakati zake huko Rafah, karibu na mpaka wa Misri, tangu mapema mwezi Mei ili kuwasaka Hamas.
Wakati huo huo jeshi la Israel limefanya uvamizi huko Jenin, Ukingo wa magharibi nyakati za asubuhi leo Alhamisi huki wakiwa na silaha nzitona magari ya kivita.
Uharibifu kwenye mitaa na mabanda sokoni umesababisha na magari makubwa ya jeshi la Israel yaliyokuwa yakipita mitaani, wenyeji wamesema.
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #kufrdan #jenin #wanamgambo #wapalestina #jeshi #israel
15 May 2025
- Kenya is among 59 nations that are expected to benefit from the deal.
15 May 2025
- On Wednesday, Nairobi County shut down the freemasons church over land rate arrears.
15 May 2025
- The man argued that the constitutional changes would improve executive stability and enhance institutional coherence.
15 May 2025
- Former Deputy President Rigathi Gachagua has unveiled his much-anticipated political outfit, the Democracy for the Citizens Party (DCP).
15 May 2025
- The petition, filed as Bench Petition No. E565 of 2024, was scheduled for May 15, 2025.
15 May 2025
- Nandi County Senator Samson Cherargei has opined that Kenya's opposition's expected launch of a new political faction will not successfully topple President William Ruto from power.
15 May 2025
- Kenya is among 59 nations that are expected to benefit from the deal.
15 May 2025
- On Wednesday, Nairobi County shut down the freemasons church over land rate arrears.
15 May 2025
- Two Kenyan voters are seeking interim conservatory orders to suspend any consideration, vetting, or approval of the seven nominees by the National Assembly.
15 May 2025
- The man argued that the constitutional changes would improve executive stability and enhance institutional coherence.
15 May 2025
- Lawmakers in the United States Senate are questioning Kenya’s loyalty to America following President William Ruto’s recent trip to China.
15 May 2025
- Moi University has issued redundancy letters to hundreds of employees as it reports that the institution is over staffed.
15 May 2025
- Police officers could be seen shooting in the air to disperse the crowd.