- 89 viewsDuration: 2:05Halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini-KRA inalenga kuwawezesha watu elfu 150 kujaza na kuwasilisha ushuru wao wa mapato katika kaunti ya Kisumu. Idadi hiyo inajumuisha walipa ushuru na wale ambao hawana mapato ya kulipia ushuru. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive