Kampuni ya maji ya Thika yaonya kuendelea kupungua kwa viwango vya maji katika vyanzo vyake

  • | Citizen TV
    214 views

    Kampuni ya maji ya Thika kaunti ya Kiambu imeonya kuendelea kupungua kwa viwango vya maji katika vyanzo vyake, na kuonya kuwa huenda uhaba ukaendelea kushuhudiwa eneo hilo.