13 Nov 2025 1:58 pm | Citizen TV 164 views Duration: 1:09 Kampuni ya Naivas imetangaza ushirikiano na Uber Eats utakaowawezesha wateja kununua bidhaa na mahitaji ya kila siku kwa urahisi kupitia programu ya Uber Eats.