Kenya Yafikisha Visa Vitano Vya Mpox

  • | NTV Video
    60 views

    Kenya Yafikisha Visa Vitano Vya Mpox

    Mwathiriwa wa tano ni mwanamke wa miaka 29 anayeishi Mombasa.

    Wizara yashauri waathiriwa wajiepushe Na mapenzi.