Maafisa wa upelelezi kaunti ya Taita-Taveta wamekamata trela lililokuwa likisafirisha vileo ghushi

  • | Citizen TV
    1,382 views

    Maafisa wa upelelezi kaunti ya Taita-Taveta wamezuilia trela moja lililokuwa likisafirisha vileo ghushi. Lori hilo lilikuwa limebeba zaidi ya lita elfu 30 za ethanol ikiwa imepakiwa kwenye mitungi. Inaaminika kuwa trela hilo linaaminika kutokea maeneo ya mpakani wa kenya na tanzania