- 107 viewsShamrashamra zilitanda katika Soko la Ekalakala, Masinga, Kaunti ya Machakos, huku maelfu ya wakazi wakijitokeza kuwapokea watangazaji wa kituo cha redio cha Musyi FM, kinachoongoza kwa matangazo katika lugha ya kikamba eneo la mashariki mwa nchi.