Maeneo mengi nchini yashuhudia tena giza kutokana na kupotea kwa umeme

  • | Citizen TV
    2,719 views

    Maeneo Mengi Nchini Yameshuhudia Tena Giza Asubuhi Japo Kampuni Ya Kenya Power Imesema Kuwa Umeme Umerejeshw Akatika Maeneo Ya Nairobi, Mt. Kenya , Central Rift, North Rift Na Magharibi Mwa Nchi.