- 460 viewsDuration: 2:08Naibu Rais wa Shirikisho la Kandanda nchini, Mcdonald Mariga, amezungumzia madai ya ubadhirifu wa fedha katika Shirikisho la Kandanda la Kenya (FKF) chini ya uongozi wa Rais Hussein Mohammed. Sasa inadaiwa kuwa shilingi milioni 43 zililipwa kwa kampuni ya bima ya Riskwell na kwamba FKF ilitoa cheti ghushi kwa CAF.