Masengeli awataka wakuu wa usalama kukabiliana na dawa za kulevya

  • | Citizen TV
    1,205 views

    Kaimu Inspekta jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli amewataka wakuu wa usalama kutoka eneo la Kaskazini Mashariki kukomesha ulanguzi wa dawa za kulevya na biashara ya magendo eneo hilo.