- 132 viewsDuration: 14:49Ukandamizaji wa haki za wakenya ng'ambo wazua hofu. Baadhi wamedai kutelekezwa na serikali wakiwa nje. Dhulma na utekaji nyara vimetokea uganda na Tanzania. Jumuiya ya Afrika Mashariki imelaumiwa kwa kukiuka haki. Wakenya watatu bado wanazuiliwa jela za Tanzania. Wakenya wawili walitekwa nyara na kuzuiliwa Uganda.