Matukio bungeni | Shirika la KBC lahimizwa kutengea bunge muda zaidi

  • | KBC Video
    11 views

    Kamati ya bunge kuhusu utangazaji imetoa wito kwa vyombo vya habari nchini kudumisha uhakiki kwenye taarifa vinazoandika na kutangaza haswa kuhusu masuala ya bunge. Akizungumza baada ya kukutana na wasimamizi wa shirika la utangazaji nchini KBC jijini Nairobi, kubaini changamoto kwenye upeperushaji wa vikao vya bunge, mwenyekiti wa kamati hiyo Daniel Epuyo Nanok alishtumu baadhi ya vyombo vya habari kwa kile alichotaja kuchapisha habari za kusisimua badala ya habari za kuwajibika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #bunge #News #KBC