Mhudumu wa boda boda aliyepata ajali na kukatwa mguu joseph Situma arejea barabarani

  • | KBC Video
    76 views

    Miaka mitatu baada ya kujitosa katika biashara ya bodaboda katika eneo la kati kati ya jiji la Nairobi, Joseph Situma alihusika katika ajali iliyosababisha mguu wake kukatwa. Mwanahabari wetu Ronald Terer alikutana na Situma na kuandaa makala yafuatayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive