Mkewe Rais azindua kisima cha maji shuleni unoa makueni

  • | Citizen TV
    1,164 views

    Mke wa Rais Rachel Ruto amesema ipo haja ya shule kuwekeza katika mashamba madogo madogo ili kukabiliana na njaa na ukosefu wa chakula nchini na hususan kwa watoto. Rachael Ruto aliyasema hayo akizuru shule ya msingi ya unoa kaunti ya Makueni kuzindua uchimbaji wa kisima katika shule hiyo.