Skip to main content
Skip to main content

Msako wa maafisa wa usalama waendelea Angata Barrikoi baada ya wizi wa mifugo

  • | Citizen TV
    715 views
    Duration: 3:06
    Hali imesalia tete katika eneo la Angata Barrikoi, eneobunge la Transmara, ambako maafisa wa usalama wanafanya msako wa majangili waliojihami kwa bunduki sita na kuvamia kijiji cha Kaituro. Katika uvamizi huo, zaidi ya mifugo 130 waliibwa. Wakazi wa eneo hilo sasa wanaitaka serikali kuimarisha usalama ili kuzuia uvamizi zaidi.