- 3,181 viewsDuration: 1:44Mwili wa msichana wa miaka 7 umepatikana katika kijiji cha Mwezangombe huko Kilifi siku mbili baada ya mtoto huyo kuripotiwa kutoweka alipokua akicheza nje ya nyumba yao. Kulingana na uchunguzi wa awali, mtoto huyo alibakwa kabla ua kuuwawa na sasa familia yake ikililia haki.