Mwanzilishi wa Fighting Brutality and Impunity ashtakiwa kwenye mahakama ya Kahawa

  • | KBC Video
    6,677 views

    Patrick Osoi, mwanzilishi wa vuguvugu la Fighting Brutality and Impunity (FBI), alifikishwa kwenye mahakama ya Kahawa ambako maafisa wa ujasusi wa Idara ya Upelelezi wa jinai walitaka azuiliwe kwa siku-14 kusubiri kukamilishwa ka uchunguzi. Osoi alikamatwa tarehe 29 mwezi huu kwa madai ya kupanga kutekeleza uhallifu, kumiliki silaha bila leseni na kuwa na risasi bila cheti hitajika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive